Personal Websites Babelred
Get your website for free
0 0 0

CHUO CHA KILIMO/MIFUGO MUHULA WA 2012-2013

By: Dr Mkude J Mawenge | Published: 21/02/2012 13:14 | | Content:17
Kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka 2011 mnatangaziwa kuwa kuna nafasi za IONmo ya Kilimo na Mifugo yanapatikana hapa katika Wilaya ya Babati katika chuo cha PAMOJA VOCATI ONCENTRE kilichopo Babati kwa maelezo zaidi piga simu namba 0785 722595,0714 116322,0757 841464.Note mnakaribishwa
Page [1 2 ]
arnold makimi
arnold makimi
nataka kujiunga nifanyaje?
muhsin160
muhsin160
je naruhusiwa kujiunga kwasasa?
John peter
John peter
Naitwa,JOHN PETER,nimehitim kidato cha nne mwaka 2011.,naweza kujiunga na chuo hicho je nipateje fomu za kujiunga tafadhali naomba msaada wenu.niko Mkoa wa Mara.
aclan ngaa
aclan ngaa
juma mohamed. mimi nimehitimu kidato cha nne mwaka 2010 naweza kupata nafasi ya kujiunga na chuo hicho.nitapataje form ya kujiunga naomba msaada wenu.niko arusha.
john mkomwa
john mkomwa
john mkomwa nimemaliza form four mwaka 2011,naipenda fani hii je naweza kuaply sasa
JOSEPH DONALD
JOSEPH DONALD
How can I apply to this college. Joseph Donald
titus590
titus590
form zinapatikana wapi???
michael harold mmari
michael harold mmari
naitwa michael mmary nimehtim 2011 je nitapataje form y kujiunga
benson william
benson william
mi benson thomas nataka kujiunga na maso katika chuo hicho nimemaliza form 4 mwka 2006 je form za kujiunga zinaptikana wap?
yusuph matonange
yusuph matonange
Naitwa yusuph matonange pauline nimehitimu kidato cha nne mwaka 2011 nataka kujiunga kwenye chuo hiki je naruhusiwa? na fomu zinapatikana wapi?
Page [1 2 ]
Comment